Zanzibar Police Commissioner Kombo Khamis Kombo announced on July 2, 2025, that traffic-related offences rose to 28,740 between January and June 2025, up from 16,870 during the same period in 2024.
Although the 1984 Zanzibar Constitution limits the presidency to two consecutive five-year terms, Dr Amour’s supporters began lobbying within Chama Cha Mapinduzi (CCM) to remove that restriction.
The Tanzania Revenue Authority (TRA) has announced a special tax amnesty targeting owners of vehicles that were imported into the country without proper customs clearance.
Talaka nchini Kenya hutegemea kuthibitisha kosa. Hii inamaanisha kwamba sheria inaruhusu kuvunjwa kwa ndoa ikiwa mtu anayeomba talaka ataweza kuthibitisha kuwa mwenzi wake ametenda kosa chini ya sharia ya ndoa....
WATU wanapenda kupendwa, lakini wengi hawataki kuwekeza kwenye uhusiano. Wanataka furaha ya kimapenzi, lakini hawataki kazi inayokuja nayo.
Lakini ukweli ni huu: mapenzi bila ukaribu wa kweli ni sawa na...
Rais William Ruto alipokuwa akimtembeza mtangulizi wake Uhuru Kenyatta katika Ikulu Ijumaa, mjadala uliibuka kuhusu ikiwa rais huyo mstaafu bado ana ushawishi wa kisiasa wa kuathiri matokeo ya uchaguzi wa...
Mwaka mmoja baada ya kuzinduliwa kwa Mamlaka ya Bima ya Afya ya Jamii (SHA), mageuzi makubwa ya huduma ya afya yaliyopangwa na serikali yako kwenye njia panda kati ya kufanikiwa...
DANIEL Toroitich arap Moi alizaliwa Septemba 2 mwaka wa 1924, katika kijiji cha Kurieng’wo, Sacho, wilayani Baringo (Kaunti ya Baringo kwa wakati huu).
Alikuwa mwana wa tano wa mke wa...
CHAMA cha Orange Democratic Movement (ODM), ambacho kwa muda mrefu kimekuwa nembo ya mapambano ya kisiasa na utetezi wa haki za wananchi, sasa kinaonekana kupoteza dira yake.
Dalili za kulegea...
Mkutano wa Rais William Ruto na mtangulizi wake Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi Ijumaa pamoja na matembezi yao pamoja umeibua hisia mseto huku ukizua mjadala kuhusu maana yake kisiasa...
IRINGA: Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mufindi Kaskazini wamemkaba kwa maswali Mbunge anayemaliza muda wake, Exaud Kigahe, wakitaka majibu ya kwanini barabara ya Kinyanambo–Madibira, iliyoahidiwa kujengwa...
IRINGA: Mgombea ubunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Ngupula, ameendelea na kampeni zake katika kata mbalimbali za jimbo hilo akiahidi kushughulikia changamoto ya barabara...
Chama cha Democratic Action Party – Kenya (DAP-K) kimejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya viongozi wake wawili mashuhuri, Kiongozi wa Chama Eugene Wamalwa na Gavana wa Trans Nzoia George...