Smartphone penetration increased to 39.53 percent, up from 36.75 percent in June 2025, while feature phone penetration grew to 86.53 percent from 84.97 percent in the same period.
President Hassan said her administration would prioritise improvements to road, rail, and water transport to boost cross-border trade and stimulate local economic growth.
Aga Khan Health Service Tanzania Chief Executive Officer, Mr Sisawo Konteh, said climate change, mental health, and gender equity have a profound impact on both family and national well-being.
Some members of the crowd surged forward to view Odinga's body, crushing mourners in the melee. Three people were shot dead by security forces a day earlier.
KAMATI ya Kitaifa ya Kuandaa Mazishi imetangaza kuwa ibada ya mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga itafanyika kuanzia saa tatu asubuhi Jumapili katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia...
Ni wazi sasa — historia ya elimu ya juu nchini Tanzania inaandikwa upya katika ardhi ya Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE). Wakati majengo makubwa yakipanda kama ishara...
MOROGORO: CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA ) kimeeleza kuwa hadi kufikia Oktoba mwaka huu, miradi mipya ya utafiti 36 yenye thamani ya Sh bilioni 10.5 imepatikana. Kati ya...
CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA ) kimeeleza kuwa hadi kufikia Oktoba mwaka huu miradi mipya ya utafiti 36 yenye thamani ya sh bilioni 10.5 imepatikana. Kati ya miradi...
TAASISI ya Udhibiti wa Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imeendelea kutoa elimu kwa wananchi, wakulima na wadau wa sekta ya kilimo kuhusu utambuzi wa mbegu bora, taratibu za usajili wa...
MTWARA: Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imeelekeza nguvu zake katika utoaji wa elimu kwa wananchi kuhusu miradi inayotarajiwa kutekelezwa kwa lengo la kuifanya kuwa na ufanisi...
IRINGA: Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa, Charles Nyagawa, amewataka wahitimu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Lugalo kutanguliza Mungu katika masomo na maisha...
UBWABWA kwa wote, kilimo kwanza na nishati safi ndiyo baadhi ya ahadi zinazobeba ilani ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Katika kampeni...
MAMIA ya walimu wa shule za msingi waliotuma maombi ya kuteuliwa kufunza katika shule za Sekondari ya Msingi (JSS) wamezuiwa kufuatia tangazo la Tume ya Kuajiri Walimu (TSC) iliyoweka masharti...
WAPENZI wa Kiswahili nchini na kanda nzima ya Afrika Mashariki wanaomboleza kifo cha msomi na mwandishi Profesa John Hamu Habwe ambaye alifariki akiwa na umri wa miaka 62.
Profesa Habwe...