Habari Leo Travel

TAWA waagizwa mbinu mpya za mapato ili kutoa gawio

ARUSHA: WAZIRI wa Maliasilia na Utalii, Dk Ashatu Kijaji ameiagiza Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori Tanzania (TAWA) kuhakikisha inabuni vyanzo vipya vya mapato ili viakisi ukubwa wa...

2 weeks ago


Habari Leo Travel

Tanzania ya Samia na Tuzo za Ubora wa Utalii Duniani

“HATUWEZI kuzungumzia mafanikio ya sekta ya utalii pasipo kutambua jitihada za makusudi zilizofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan alipoamua kutoka ofi sini na kwenda kutengeneza fi lamu za kimkakati za...

2 weeks ago


Habari Leo Travel

Prof. Jay atimiza miaka 50

MAENDELEO ya afya ya msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya na mbunge wa zamani wa Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay’, yameimarika kwa kiasi kikubwa, huku ikitabiriwa kuwa atarejea rasmi...

4 weeks ago


Habari Leo Travel

Tanzania yavunja rekodi utalii 2025

SEKTA ya utalii Tanzania imepata ongezeko la asilimia tisa ya idadi ya watalii katika kipindi cha miezi 11 ya kwanza ya mwaka 2025, ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2024....

1 month ago


Habari Leo Travel

Uchunguzi waanza helikopta iliyoua watano Kilimanjaro

UCHUNGUZI kuhusu ajali ya helikopta ya uokoaji iliyotokea katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA) umeanza kwa lengo la kubaini chanzo cha ajali hiyo iliyotokea juzi na kusababisha vifo vya...

1 month ago


Taifa Leo Travel

‘Homa’ kali ya Krismasi yavamia Wakenya tena

MWAKA unapoelekea kuisha, msisimko wa sherehe unaendelea kutanda kote nchini wengi wakilazimika kujimudu licha ya uchumi mgumu, hali ya anga isiyotabirika pamoja na ubabe wa kisiasa. Maelfu ya Wakenya wamechagua...

1 month ago


Taifa Leo Travel

Kalameni kwenye fumanizi akwama dirishani akitoroka

HANGZHOU, China TUKIO la kushangaza na la aibu lilishuhudiwa katika mji huu baada ya jombi kunaswa kwenye video akining’inia kwenye roshani ya hoteli akiwa amevaa boksa pekee. Inasemekana mwanaume huyo...

1 month ago


Taifa Leo Travel

Wageni wanaozuru Pwani msimu huu wa sherehe watakiwa kutii masharti baharini

WAGENI wanaozuru maeneo ya Pwani kwa ajili ya likizo za Desemba wametakiwa kufuata masharti ya kiusalama ufukweni ili kuepusha majanga. Wakuu wa usalama wamesisitiza hitaji la kila mmoja kuheshimu kanuni...

1 month ago


Habari Leo Travel

Chande awafunda wahitimu chuo cha wanyamapori

KILIMANJARO: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande amewataka wahitimu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka, kuzingatia uadilifu, uzalendo na unyenyekevu wakati wa kuhudumia wananchi na kulinda...

1 month ago


Habari Leo Travel

Kero ya maji yamkera Mbunge Ngorongoro

MBUNGE wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Dk Yannick Ndoinyo ameahidi kufuatilia kujua kwa nini mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 6 unasuasua kukamilika kwa zaidi...

1 month ago


Load More...

Entertainment