Smartphone penetration increased to 39.53 percent, up from 36.75 percent in June 2025, while feature phone penetration grew to 86.53 percent from 84.97 percent in the same period.
President Hassan said her administration would prioritise improvements to road, rail, and water transport to boost cross-border trade and stimulate local economic growth.
Aga Khan Health Service Tanzania Chief Executive Officer, Mr Sisawo Konteh, said climate change, mental health, and gender equity have a profound impact on both family and national well-being.
Some members of the crowd surged forward to view Odinga's body, crushing mourners in the melee. Three people were shot dead by security forces a day earlier.
Manchester United huenda wakamkosa difenda Noussair Mazraoui kwenye mchezo muhimu dhidi ya mabingwa watetezi Liverpool ugani Anfield hapo Oktoba 19, 2025.
Vijana hao wa kocha Ruben Amorim walipepeta Sunderland 2-0...
RAIS wa Burkina Faso na shabiki mkubwa wa soka, Ibrahim Traore, anataka majibu kutoka kwa Shirikisho la Soka la Bara Afrika (CAF) kuhusu jinsi nchi yake ilivyobanduliwa kushiriki mechi za...
KOCHA Mkuu wa KMKM, Hababuu Ali, amesema licha ya kupoteza mechi ya kwanza kwa kuchapwa mabao 2-0 dhidi ya Azam, ila hajakata tamaa wakati miamba hiyo itakaporudiana Oktoba 24, 2025...
LICHA ya Azam kushinda mabao 2-0 katika mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya KMKM, ila kocha wa timu hiyo raia wa DR...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Romain Folz, amezungumzia kwa uchache sababu ya kipigo cha bao 1-0 ilichopokea timu hiyo leo Oktoba 18, 2025 kutoka kwa Silver Strikers huku kubwa zaidi akisema...
Arsenal moved three points clear at the top of the Premier League as Leandro Trossard sealed a 1-0 win against Fulham on Saturday.
The post EPL: Trossard sinks Fulham as...
DAR ES SALAAM; MUDA mfupi baada ya Yanga kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Silver Strikers ya Malawi mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliomalizika jioni hii nchini Malawi,...
MALAWI; Yanga ya Dar es Salaam imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Silver Strikers ya Malawi katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika leo nchini Malawi. Yanga ili...
KOCHA wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema huu ni mwanzo mzuri kwa timu hiyo kupata ushindi nyumbani, licha ya kuwa kikosi hicho bado kuna maeneo yanavuja ikiwemo nafasi ya...