Mastaa wamlilia Manyika Sr
KIFO cha kipa wa zamani wa Taifa Stars, Yanga, Sigara na Mtibwa Sugar, Peter Manyika Sr kimewaliza wachezaji mbalimbali hapa nchini, huku wakimzungumzia kwa nyanja tofauti namna walivyofanya naye kazi wakati wa uhai wake.