Yanga yamvunjia mkataba Folz, Mabedi achukua mikoba

Mwanaspoti
Published: Oct 18, 2025 18:38:46 EAT   |  Sports

Uongozi wa Klabu ya Yanga umevunja rasmi mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Romain Folz, ambaye amejiunga na timu hiyo mwanzo wa msimu.