Vita ya injini kurindima Dar

Mwanaspoti
Published: Jun 06, 2025 14:17:55 EAT   |  Sports

BARABARA za vumbi ndani ya viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe Dar es Salaam zimeandaliwa kuelekea raundi ta tatu ya mbio fupi za magari, keshokutwa Jumapili.