Ushindi wa Stars wampa Morocco matumaini kibao

Mwanaspoti
Published: Aug 02, 2025 19:30:32 EAT   |  Sports

KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco', amesema ushindi wa kwanza wa timu hiyo wa michuano ya CHAN umetoa mwanga mkubwa wa kikosi hicho kufanya vizuri zaidi.