Taharuki fupi ya vitoa machozi mkutano wa Linda Mwananchi Meru vijana wakisaidiana kuzima

Taifa Leo
Published: Aug 30, 2026 16:12:19 EAT   |  News

TAHARUKI ilitanda kwa muda mfupi eneo la Makutano, Meru wakati mwanamume anayeaminika kuwa afisa wa polisi aliporusha gesi ya kutoa machozi kwa mkutano wa Linda Mwananchi.
Hata hivyo umati ulizima mkebe wenye gesi hiyo na mkutano ukaendelea.