Stars yaanza kibabe Chan 2024, yaichapa Burkina Faso 2-0

Mwanaspoti
Published: Aug 02, 2025 19:14:10 EAT   |  Sports

TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars, imeanza vyema Fainali za Ubingwa wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani CHAN, baada ya kuichapa Burkina Faso mabao 2-0.