Simba yaidhalilisha Mashujaa, ikiipiga sita
Simba imeendeleza moto wake ikifanikiwa kuichapa kwa kipigo kikali cha mabao 6-1 Mashujaa FC huku wekundu hao wa Msimbazi wakiendelea kujikita juu ya msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.