Polisi yatanguliza mguu mmoja Ligi Kuu, ikiirarua Prisons
TIMU ya Polisi Tanzania imetanguliza mguu mmoja kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kuwapiga maafande wa Magereza, Tanzania Prisons kwa mabao 4-0 ikijiweka sehemu nzuri ya kufuzu.