Polisi yatanguliza mguu bmoja Ligi Kuu, ikiirarua Prisons

Mwanaspoti
Published: Jul 12, 2026 15:27:22 EAT   |  General

Timu ya Polisi Tanzania imetanguliza mguu mmoja kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Tanzania Prisons kwa mabao 4-0, na kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu.