Nyumba yaiponza Yanga, yapigwa faini Sh30 milioni

Mwanaspoti
Published: May 11, 2026 09:06:40 EAT   |  General

MCHEZO wa Dabi ya Kariakoo katika Ligi Kuu Bara uliomalizika kwa sare ya 2-2, umeiletea Yanga maumivu makali ikipgwa faini ya Sh30 milioni huku maafisa wake wawili wakikumbana na adhabu za kusimamishwa.