Ninju apelekwa kwa mkopo
BEKI kinda wa Yanga, Abubakar Nizar ‘Ninju’, ametolewa kwa mkopo wa msimu mmoja kwenda Polisi Tanzania kwa ajili ya kupata nafasi zaidi ya kucheza na kuendelea kujenga uwezo wake.