Ngoma anakitu, tawimu zake za mbeba

Mwanaspoti
Published: Aug 29, 2026 14:47:45 EAT   |  Sports

BAADA ya kukosekana katika mechi nne za timu hiyo, kiungo mpya wa Yanga Freddy Ngoma juzi alian-za dhidi ya Pamba Jiji na kuonyesha moto mkali kwa dakika 74 alizopewa.