Mzimu wa kadi nyekundu waitesa Simba, ikiilaza Singida BS
MZIMU wa kadi nyekundi umeendelea kuitesa Simba msimu huu katika Ligi Kuu Bara, baada ya beki wa kushoto, Anthony Mligo kuonyeshwa leo na kufikisha tatu kwa kikosi hicho, kilichoibuka na ushindi wa mabao 2-1, dhidi ya Singida Black Stars.