Mtanzania atambulishwa Arsenal, mwenyewe afunguka

Mwanaspoti
Published: Jul 14, 2026 18:58:59 EAT   |  General

KLABU ya Arsenal imemtambulisha rasmi kiungo mwenye asili ya Tanzania, Lisa Baum, kuwa mchezaji wake mpya katika dirisha hili la usajili, baada ya kufikia makubaliano ya kumsajili kutoka RB Leipzig ya Ujerumani.