Methu amwambia Ruto pesa hazitamuokoa 2027

Taifa Leo
Published: Aug 16, 2026 06:55:26 EAT   |  News

SENETA wa Nyandarua John Methu amesema pesa nyingi hazitahakikishia Rais William Ruto ushindi katika uchaguzi mkuu wa 2027.
Methu alisema matokeo ya uchaguzi mdogo wa Ol Kalou yalidhihirisha kuwa wapigakura wanaweza kukataa ushawishi wa pesa na kuchagua viongozi wanaowataka.
“Kutoka Ol Kalou, imethibitishwa kuwa pesa ni kipengele kidogo cha uchaguzi mkuu ujao,” Methu alisema katika mahojiano ya runinga Jumatano usiku.
Seneta huyo, ambaye aliongoza kampeni za upinzani Ol Kalou, alisema alitumia takriban siku 60 katika eneo hilo na kwamba uchaguzi huo ulikuwa somo muhimu kwa upinzani kuhusu namna ya kumkabili Rais Ruto mwaka 2027.
Methu alidai kuwa Rais Ruto anaamini wapinzani wake hawana uwezo wa kifedha wa kushindana naye.
“Kitu kimoja anachoamini William Ruto ni kwamba hatuna pesa, na ako nazo. Ni kweli ana pesa.