Mbeya City yafuta gundu Sokoine ikiitibulia rekodi Bandari
Pamoja na kufuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB, Mbeya City imefuta gundu katika Uwanja wa Sokoine kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Bandari FC inayoshiriki First League.