Matukio mbalimbali ufunguzi kituo cha EACLC

DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye ufunguzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) kilichopo Ubungo jijini Dar es Salaam leo Agosti 01, 2025.