Kuvunja mkataba wa Mbongo Ureno bilioni 200
KOCHA wa Sporting CP ya Ureno, Rui Borges amesema mshambuliaji wa zamani wa Bayern Munich, Nestory Irankunda aliyezaliwa Tanzania yupo nchini humo kukamilisha dili la kujiunga na timu hiyo.