Kocha Yanga afukuzwa usiku

DAR ES SALAAM; MUDA mfupi baada ya Yanga kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Silver Strikers ya Malawi mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliomalizika jioni hii nchini Malawi, klabu ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Romain Folz. Taarifa ya Idara ya Habari na Mawasiliajno ya Yanga iliyotolewa usiku …
The post Kocha Yanga afukuzwa usiku first appeared on HabariLeo.
DAR ES SALAAM; MUDA mfupi baada ya Yanga kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Silver Strikers ya Malawi mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliomalizika jioni hii nchini Malawi, klabu ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Romain Folz.
Taarifa ya Idara ya Habari na Mawasiliajno ya Yanga iliyotolewa usiku huu, imesema timu hiyo sasa itakuwa chini ya Kocha Msaidizi, Patrick Mabedi raia wa Malawi, wakati mchakato wa kusaka Kocha Mkuu ukiendelea.
The post Kocha Yanga afukuzwa usiku first appeared on HabariLeo.