Kocha Burkina Faso aanza visingizio

Mwanaspoti
Published: Aug 03, 2025 06:45:48 EAT   |  Sports

BAADA ya Burkina Faso kuchapwa mabao 2-0 na Tanzania katika mechi ya ufunguzi ya CHAN, kocha wa timu hiyo, Issa Balbone amesema sababu kubwa ni kuchelewa kufika Dar es Salaam.