KMC yapunguza kasi mchakato wa kocha mpya

Mwanaspoti
Published: Apr 30, 2026 15:04:05 EAT   |  Sports

KMC inapigania uhai wake wa kusalia Ligi Kuu Bara msimu ujao ikiwa pia bila kocha mkuu, huku uongozi wa klabu hiyo ukiweka wazi kuwa bado kuna hesabu zinaendelea kupigwa taratibu juu ya mchakato wa kupata kocha mpya.