Kaze aanza kibabe Ligi Kuu, Kagera Sugar ikiizima Mbeya City Sokoine
Baada kusota kwa muda mrefu hatimaye Kagera Sugar imeamka usingizini ikiikamua Mbeya City kwa mabao 3-1 na kufufua matumaini mapya Ligi Kuu Bara.