Katwila aanza majigambo
BAADA ya kupata pointi nne katika mechi mbili za nyumbani, Kocha Mkuu wa Geita Gold, Zubery Kat-wila amesema malengo ya timu hiyo kwa sasa ni kuhakikisha Uwanja wa Bukombe unakuwa ni mwiba mkali kwa wapinzani wote watakaoenda kucheza nao.