Folz afunguka, ataja sababu kufungwa na Silver Strikers

Mwanaspoti
Published: Oct 18, 2025 19:34:20 EAT   |  Sports

KOCHA Mkuu wa Yanga, Romain Folz, amezungumzia kwa uchache sababu ya kipigo cha bao 1-0 ilichopokea timu hiyo leo Oktoba 18, 2025 kutoka kwa Silver Strikers huku kubwa zaidi akisema Jumamosi ya Oktoba 24, 2025 katika mechi ya marudiano, Wananchi watafurahi.