Dodoma Jiji yatibua hesabu za Yanga

Mwanaspoti
Published: May 13, 2026 15:27:26 EAT   |  General

DODOMA Jiji imeikazia Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa leo, kwenye Uwanja wa Airtel mjini Singida na kuondoka na pointi tatu baada ya ushindi wa mabao 3-2.