Chukwu mlango wa kutokea Singida BS

Mwanaspoti
Published: Jun 11, 2026 22:11:02 EAT   |  Sports

SINGIDA Black Stars inaweza kuingia sokoni kutafuta mbadala wa kiungo wake tegemeo, Morice Chukwu, baada ya nyota huyo kuweka wazi kuwa yupo mbioni kuondoka kwenye kikosi hicho mwishoni mwa msimu huu.