Ally Bai afichua siri ya kuichukua african sports
LICHA ya mwenendo usioridhisha wa African Sports 'Wanakimanumanu' msimu huu katika Ligi ya Championship, kocha mkuu wa timu hiyo, Ally Salimu Mdoe 'Bai' amesema moja ya rekodi asiyoitaka itokee ni kuona kikosi hicho kinashuka daraja.